Louis Neel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tuzo Nobel.png

Louis Eugene Felix Néel (22 Novemba, 190417 Novemba, 2000) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa alichunguza sifa za usumaku. Mwaka wa 1970, pamoja na Hannes Alfven alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Louis Neel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine