Leonard Roberts

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Leonard Roberts

Roberts (kushoto) akiwa na mshirika mwenzake wa Heroes Noah Gray-Cabey (kulia) mnamo 2006
Amezaliwa 17 Novemba 1972 (1972-11-17) (umri 51)

Leonard Roberts (amezaliwa 17 Novemba 1972) ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani.

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Leonard Roberts alizaliwa mnamo 17 Novemba 1972, mjini St. Louis, Missouri. Mwaka wa 1995, Roberts amehitimu katika Chuo Kikuu cha Sanaa na Maigizo cha DePaul akiwa na Shahada ya Sanaa katika uigizaji.[1]

Anafahamika zaidi kwa nyusika zake kama vile Sean Taylor kwenye Drumline na Forrest Gates kwenye msimu wa nne wa Buffy the Vampire Slayer. Naye pia anafahamika zaidi kuwa miongoni mwa mashabiki wakubwa wa Smallville kwa kucheza uhusika wa Nam-Ek, na D.L. Hawkins kwenye tamthilia ya ubunifu wa kisayansi wa NBC, Heroes.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Leonard Roberts (1990-2010)". IMDb. Amazon.com. Iliwekwa mnamo 2010-03-19. 

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leonard Roberts kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.