Kyela Mjini
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Kata ya Kyela Mjini | |
| Mahali pa Kyela Mjini katika Tanzania | |
| Anwani ya kijiografia: 9°34′48″S 33°51′00″E / 9.58°S 33.85°E | |
| Nchi | Tanzania |
|---|---|
| Mkoa | Mbeya |
| Wilaya | Kyela |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 28,926 |
Kyela ni mji wa Tanzania Kusini-Magharibi uliopo karibu na ncha ya kaskazini ya Ziwa Nyasa. Ni kata ya Kyeka mjini na hivyo makao makuu ya Wilaya ya Kyela katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 28,926 waishio humo. [1]
Mazingira ya Kyela ni marufuku Tanzania kwa mchele mzuri unaolimwa hapa. Miji ni kitovu cha mawasiliano kwa sababu barabara kutoka Mbeya-Tukuyu kwenda Malawi inakutana hapa na barabara ndogo zinazoelekea Matema na milima ya Livingstone. Bandari ya Kyela iko kilomita kadhaa nje ya mji na hapa ni chanzo cha njia za mawasilano kwa maji kwenye Ziwa Nyassa upande wa Tanzania.
Marejeo [hariri]
- ↑ 2002 Population and Housing Census General Report (en). Government of Tanzania. Rudishwa juu ya 2008-08-21.
| Kata za Wilaya ya Kyela – Mkoa wa Mbeya - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kyela Mjini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |