Kutapika
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kutapika ni hali kutokwa na vitu vilivyojikusanya tumboni kwa nguvu kupitia mdomoni na wakati mwingine puani, na mtu akihisi kutaka kutapika huitwa mtu huyo ana kichefuchefu.
Kuna sababu nyingi ambazo zamfanya mtu atapike, miongoni mwa vitu hivyo kupewa sumu au kukumbwa na baadhi ya magonjwa au tumbo lake kuwa bovu na kutoweza kusaga chakula kilichopo tumboni.
| Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kutapika kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |