Kuro (jenasi)
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Kuro | ||||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Dume la kuro ndogoro
(Kobus ellipsiprymnus) |
||||||||||||||||||
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Kuro ni spishi ya kawaida zaidi ya jenasi Kobus katika familia Bovidae. Spishi nyingine za jenasi hii zinaitwa lechwe, mraye na sheshe. Kuna nususpishi mbili za kuro: (kuro) ndogoro na kuro singsing. Spishi zote zinatokea karibu na maji na hutorokea maji wakitishwa na mnyama mbua. Rangi ya spishi nyingi ni ya mchanga lakini rangi ya kuro na spishi nyingine kadhaa ni kahawia hadi kijivu au nyeusi. Mara nyingi iko rangi ya nyeupe kuzunguka macho na pua na matako. Wanyama hawa hula manyasi.
Spishi [hariri]
- Kobus anselli Lechwe wa Upemba (Upemba Lechwe)
- Kobus ellipsiprymnus Kuro (Waterbuck)
- Kobus e. defassa Kuro Singsing (Defassa Waterbuck)
- Kobus e. ellipsiprymnus Kuro Ndogoro (Common Waterbuck)
- Kobus kob Mraye (Kob)
- Kobus leche Lechwe Kusi (Southern Lechwe)
- Kobus megaceros Lechwe wa Nili (Nile Lechwe)
- Kobus vardonii Sheshe (Puku)
Picha [hariri]
| Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kuro (jenasi) kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.