Kungälv
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kungälv ni mji na manispaa nchini Uswidi. Kuna wakazi 21,139 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 1612 .
[hariri] Jiografia
Eneo lake ni 10.96 km². Iko kando ya Kattegat. Umbali na Jiji la Göteborg ni 17 km.
[hariri] Viungo vya nje
| Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kungälv kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |