Kobalti
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Kobalti |
|
|---|---|
|
|
|
| Jina la Elementi | Kobalti |
| Alama | Co |
| Namba atomia | 27 |
| Mfululizo safu | Metali |
| Uzani atomia | 58.933 |
| Valensi | 2, 8, 15, 2 |
| Densiti | 8.90 g/cm³ |
| Kiwango cha kuyeyuka | 1768 K (1495 °C) |
| Kiwango cha kuchemka | 3200 K (2927 °C) |
| Asilimia za ganda la dunia | 4.7 % |
| Hali maada | mango |
Kobalti (kisayansi pia: feri kutoka Kilatini "ferrum") ni elementi na metali haba duniani. Kikemia ni elementi mpito yenye kifupi cha Co na namba atomia 27 katika mfumo radidia yenye uzani atomia 58.933.
Kobalti hupatikana mara chache kama metali tupu lakini zaidi ndani ya mitapo hasa za nikeli na shaba.
Matumizi yake ni katika aloi inapoongeza ugumu wa feleji. Kampaundi zake hutumiwa kwa rangi na wino mbalimbali.
| Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kobalti kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |