Kizeem

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kizeem ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wazeem. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kizeem imehesabiwa kuwa watu 400 tu. Kwa vile Wazeem wengi wanaongea Kihausa badala ya Kizeem, lugha ya Kizeem iko katika hatari ya kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kizeem iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kizeem kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.