Kizaramo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kizaramo ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wazaramo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kizaramo imehesabiwa kuwa watu 657,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kizaramo iko katika kundi la G30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Worms, A. 1897. Grundzüge der Grammatik des Ki-Zaramo in Deutsch-Ostafrika. Zeitschrift für afrikanische und oceanische Sprachen, 3 (4), uk.289-310.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kizaramo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.