Kizande

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kizande ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Sudan Kusini na Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wazande. Idadi ya wasemaji wa Kizande nchini Kongo imehesabiwa kuwa watu 730,000. Pia kuna wasemaji 350,000 nchini Sudan Kusini na 62,000 nchini Afrika ya Kati. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kizande iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kizande kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.