Kiyangben

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiyangben ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wayangben. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kiyangben imehesabiwa kuwa watu 2300. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiyangben iko katika kundi la A60.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyangben kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.