Kiyamba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kiyamba (lugha))

Kiyamba ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wayamba. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiyamba imehesabiwa kuwa watu 40,800. Pia kuna wasemaji wachache nchini Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyamba iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyamba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.