Kiyalunka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiyalunka ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea, Senegal, Sierra Leone na Mali inayozungumzwa na Wayalunka. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kiyalunka nchini Guinea imehesabiwa kuwa watu 55,500. Pia kuna wasemaji 30,000 nchini Sierra Leone (2002), 10,000 nchini Senegal (2007) na 9000 nchini Mali (2002). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyalunka iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyalunka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.