Kiyala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiyala ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wayala. Mwaka wa 1973 idadi ya wasemaji wa Kiyala imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyala iko katika kundi la Kiidomoidi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyala kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.