Kiyakan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiyakan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wayakan. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kiyakan imehesabiwa kuwa watu 106,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyakan iko katika kundi la Kibarito.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyakan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.