Kiwuvula-Aua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwuvulu-Aua ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wawuvulu na Waaua kwenye visiwa vya Wuvulu, Aua, Durour na Maty. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kiwuvulu-Aua imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwuvulu-Aua iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwuvula-Aua kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.