Kiwumbvu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kiwumbvu (lugha))

Kiwumbvu ni lugha ya Kibantu nchini Gabon inayozungumzwa na Wawumbvu. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiwumbvu nchini Gabon imehesabiwa kuwa watu 18,300. Pia kuna wasemaji nchini Jamhuri ya Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiwumbvu iko katika kundi la B20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwumbvu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.