Kiwawonii

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwawonii ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wawawonii kwenye visiwa vya Wawonii na Menui. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kiwawonii imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwawonii iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwawonii kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.