Kiwatubela

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwatubela ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wawatubela kwenye visiwa vya Watubela. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kiwatubela imehesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwatubela iko katika kundi la Kimaluku.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwatubela kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.