Kiwarji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwarji ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wawarji. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiwarji imehesabiwa kuwa watu 77,700. Wengi wao wameanza kubadilisha lugha na kuongea Kihausa badala ya Kiwarji. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwarji iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwarji kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.