Kiwara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kiwara (pia Kisamwe) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso inayozungumzwa na Wawara. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kiwara imehesabiwa kuwa watu 4500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwara iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.