Kiwane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwané ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wawané. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kiwané imehesabiwa kuwa watu 2100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwané iko katika kundi la Kikru.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwane kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.