Kiwaigeo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwaigeo ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wawaigeo kwenye kisiwa cha Waigeo. Mwaka wa 1978 idadi ya wasemaji wa Kiwaigeo imehesabiwa kuwa watu 300 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwaigeo iko katika kundi la Kicenderawasih.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwaigeo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.