Kivumbu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kivumbu ni lugha ya Kibantu nchini Gabon inayozungumzwa na Wavumbu. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kivumbu imehesabiwa kuwa watu 2460. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kivumbu iko katika kundi la B40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kivumbu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.