Kiviti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiviti ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waviti. Idadi ya wasemaji wa Kiviti haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiviti iko katika kundi la Grassfields linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiviti kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.