Kivemgo-Mabas
Kivemgo-Mabas ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria na Kamerun inayozungumzwa na Wavemgo-Mabas. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kivemgo-Mabas nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu 10,000; pia kuna wasemaji 5000 nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kivemgo-Mabas kiko katika kundi la Kichadiki.
Viungo vya nje [hariri]
- lugha ya Kivemgo-Mabas kwenye Multitree
- ramani ya Kivemgo-Mabas
- http://www.ethnologue.org/show_language.asp?code=vem
Viambishi ni mofimu au viungo vyenye maana ambavyo hufungamanishwa na mzizi/shina la neno ili kulipa neno hilo maana mbalimbali za kisarufi kama vile nafsi, wakati, hali, urejeshi, n.k Viambishi awali ni vile vinavyotangulia mzizi wenyewe, yaani huwa kabla ya mzizi/shina. SHINA AU MZIZI: Hakuna tofauti kati ya shina na mzizi MZIZI/SHINA, Ni sehemu ya neno inayobeba maana yake kuu na huwa haibadiliki, Kwa mfano, tuangalie vitenzi vifuatavyo: a-na-LIM-a wa-li-LIM-i-a ni-ta-LIM-iw-a wa-na-vyo-LIM-a Ukiangalia kwa makini, utaona kuna sehemu ya kitenzi hiki ambayo haibadiliki katika mifano ya hapo juu. Sehemu hiyo ni (-LIM-). Na hii ndiyo shina au mzizi wa kitenzi LIMA. Mfano mwingine: a-li-ki-SOM-a hu-SOM-ew-a wa-li-SOM-e-an-a a-li-m-SOM-e-a i-li-SOM-w-a Tunaona hapa mzizi/shina la kitenzi SOMA, ni -som- Ili utambue shina/mzizi wa kitenzi unafaa kuwazia hali mbalimbali au kauli tofautitofauti za mnyambuliko wa kitenzi halafu ubainishe sehemu isiyobadilika.