Kiuruava

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiuruava ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya iliyozungumzwa na Wauruava. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kiuruava tena yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiuruava iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiuruava kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.