Kiuruangnirin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiuruangnirin ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wauruangnirin kwenye kisiwa cha Karas. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kiuruangnirin imehesabiwa kuwa watu 400 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiuruangnirin iko katika kundi la Kibomberai-Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiuruangnirin kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.