Kiumbundu
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kiumbundu ni lugha ya Kibantu nchini Angola inayozungumzwa na Waumbundu. Kisichanganywe na Kimbundu cha nchi hiyohiyo. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kiumbundu imehesabiwa kuwa watu milioni nne. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiumbundu kiko katika kundi la R10.
[hariri] Viungo vya nje
- lugha ya Kiumbundu kwenye Multitree
- ramani ya Kiumbundu
- http://www.ethnologue.org/show_language.asp?code=umb
| Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiumbundu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |