Kiukhwejo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiukhwejo ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Waukhwejo. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kiukhwejo imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiukhwejo iko katika kundi la A80.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiukhwejo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.