Kiubi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiubi ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Waubi. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kiubi imehesabiwa kuwa watu 1100 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiubi iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiubi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.