Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere
English: Julius Nyerere International Convention Centre
AnuaniMtaa wa Shaaban Robert
MahaliDar es Salaam, Tanzania
Anwani ya kijiografia6°48′39″S 39°17′31″E / 6.81083°S 39.29194°E / -6.81083; 39.29194
MmilikiSerikali ya Tanzania
OparetaWizara ya Mambo ya nje
Kilijengwa2010–2012
Kilizinduliwa25 Machi 2013
Gharama za ujenziUS$ 15 milioni
Uwezo
Kukalia Ukumbi1,003
Eneo la ndani
 Jumla ya eneohekta 2.5 (ekari 6.2)

Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere ni ukumbi wa mikutano wa kisasa mjini Dar es Salaam nchini Tanzania.

Kituo kina nafasi kwa mikutano hadi wajumbe 1003. Kwa jumla kuna vyumba na kumbi za mikutano 12.

Kiutawala kituo hiki ni tawi la AICC (Arusha International Conference Center).

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]