Kitunen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitunen ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Watunen. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kitunen imehesabiwa kuwa watu 35,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitunen iko katika kundi la A60.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitunen kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.