Kitumak

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitumak ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Watumak. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kitumak imehesabiwa kuwa watu 25,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitumak iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitumak kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.