Kitugen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitugen ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Kenya inayozungumzwa na Watugen, kabila moja la Wakalenjin. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kitugen imehesabiwa kuwa watu 140,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitugen iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitugen kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.