Kitsogo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitsogo ni lugha ya Kibantu nchini Gabon inayozungumzwa na Watsogo. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kitsogo imehesabiwa kuwa watu 12,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitsogo iko katika kundi la B30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitsogo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.