Kitotoli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitotoli ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Watotoli kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kitotoli imehesabiwa kuwa watu 25,000. Kwa vile Watotoli wengi wameanza kuacha lugha yao na kutumia lugha nyingine, lugha ya Kitotoli iko hatarini mwa kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitotoli iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitotoli kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.