Kitongwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitongwe ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Watongwe. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitongwe imehesabiwa kuwa watu 31,600. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitongwe iko katika kundi la F10.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Kakeya, Makoto; Nishida, Toshisada. 1976. A glossary of Sitongwe. Tokyo. Kurasa 55.
  • Kotarska, Anna. 2001. A sociolinguistic survey of the Tongwe language community, Kigoma dictrict, Kigoma region, Tanzania. Dodoma: Summer Institute of Linguistics (SIL) — Tanzania. Kurasa 47.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitongwe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.