Kitonga (Malawi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitonga ni lugha ya Kibantu nchini Malawi inayozungumzwa na Watonga. Isichanganywe na Kitonga cha Zambia. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kitonga imehesabiwa kuwa watu 170,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitonga iko katika kundi la N10.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitonga (Malawi) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.