Kitita

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitita ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Watita. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitita imehesabiwa kuwa watu 3420. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitita iko katika kundi la Kijukunoidi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitita kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.