Kitii

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitii (pia Kirote) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Watii kwenye kisiwa cha Rote. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kitii imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitii iko katika kundi la Kitimor-Babar.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitii kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.