Kitiene (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitiene ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Watiene. Mwaka wa 1977 idadi ya wasemaji wa Kitiene imehesabiwa kuwa watu 24,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitiene iko katika kundi la B80.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitiene (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.