Kitiefo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitiefo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso inayozungumzwa na Watiefo. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kitiefo imehesabiwa kuwa watu 1000 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitiefo iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitiefo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.