Kitewe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitewe ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji inayozungumzwa na Watewe. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitewe imehesabiwa kuwa watu 250,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitewe iko katika kundi la S10. Wataalamu wengi hukiangalia kama lahaja ya Kimanyika.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitewe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.