Kitera

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitera ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Watera. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitera imehesabiwa kuwa watu 101,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitera iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitera kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.