Kitemiar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitemiar ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Malaysia inayozungumzwa na Watemiar. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kitemiar imehesabiwa kuwa watu 15,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitemiar iko katika kundi la Kiaslian.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitemiar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.