Kiteke-Ibali (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiteke-Ibali ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wateke-Ibali. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiteke-Ibali katika Jamhuri imehesabiwa kuwa watu 167,000. Pia kuna wasemaji 36,200 nchini Jamhuri ya Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiteke-Ibali iko katika kundi la B70.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiteke-Ibali (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.