Kiteen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitéén (pia Kilorhon) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire na Burkina Faso inayozungumzwa na Watéén. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kitéén nchini Cote d'Ivoire imehesabiwa kuwa watu 6100. Pia kuna wasemaji 2000 nchini Burkina. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitéén iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiteen kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.