Kitaloki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitaloki ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wataloki kwenye kisiwa cha Buton. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kitaloki imehesabiwa kuwa watu 550 tu. Kwa vile Wataloki wengi wameanza kuacha lugha yao na kutumia lugha nyingine, Kitaloki iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitaloki iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitaloki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.