Kitakwane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitakwane ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji inayozungumzwa na Watakwane. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kitakwane imehesabiwa kuwa watu 181,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitakwane iko katika kundi la P30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitakwane kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.